natafuta laptop ya kununua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta laptop ya kununua

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Makirita Amani, Aug 25, 2012.

 1. Makirita Amani

  Makirita Amani JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,184
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  natafuta laptop used iwe na sifa zifuatazo, iwe SATA na speed isipungue 2GHZ, iwe katika hali nzuri, hata kama haina RAM na hard disk nitaweka mwenyewe, bei isizidi laki mbili(200,000). kwa yeyote anayeuza anitafute kwenye 0717396253.
   
 2. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Laptop za wizi utapata Kariakoo (opposite Msimbazi Police), then eneo la Gerezani (yanapojipanga magari ya abiria ya Mbagala) au pia opposite Kariakoo Lutheran church, pia Kisutu maeneo karibu na Chef Pride...! Within 1 hr unaweza kuoneshwa laptop karibu 10 ambazo zimetoka 'jikoni' kwenye mojawapo ya vijiwe hivyo.
   
Loading...