mabumbe JF-Expert Member Sep 16, 2010 298 40 Aug 25, 2012 #1 Kuna machine mpya kutoka india ni ya kukamua mafuta nipo Dar kwa muhitaji tuwasiliane.
mabumbe JF-Expert Member Sep 16, 2010 298 40 Aug 25, 2012 Thread starter #3 Mpangamji said: specifications, Bei Click to expand... inauwezo wa kukamua tani20 kwa siku, bei ni maelewano range ni $33,500 kama unaitaka ni PM tuwasiliane vizuri bado iko bandarini.
Mpangamji said: specifications, Bei Click to expand... inauwezo wa kukamua tani20 kwa siku, bei ni maelewano range ni $33,500 kama unaitaka ni PM tuwasiliane vizuri bado iko bandarini.
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Aug 25, 2012 #4 Duh..tani 20,ni mashine au factory kabisa hiyo.mbona bei ndogo hivo au ni mtumba.