Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau! Kwa anayependa kuweka oda, nina 4 Puppies (100% PURE GERMAN SHEPHERD PUPPIES), wote madume ndiyo kwanza wamezaliwa ila kwa anayehitaji anitumie PM; watakuwa tayari kutolewa baada ya wiki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello wana jamii,shughuli zinaendaje?jamaninauza kuku wa nyama wa kisasa maarufu kama broilers,kwa bei nafuu kabisa kama ifuatavyo; kuku akiwa mzima hajachinjwa ni shilingi 5,000/=...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni nyumba nzima. ina vyumba vitatu vya kulala, self 1 ina AC, jiko dining. Car park, iko ndani ya fensi. Laki tano kwa mwezi. Kwa mawasiliano 0652842271;0655675500.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
****** kuna tatizo la kiifundi
0 Reactions
0 Replies
795 Views
.Ps3 250GB slim,1 pad, 10 games(CD or installed) .In Good Condition Used 1 month .U.S model(Stabilizer Included) Pm or call for more info: 0782221405
0 Reactions
0 Replies
863 Views
jamani naombeni msada mnijuze wapi nitapata xbox 360 na kwa bei gani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
New Galaxy Tab 2 (64GB), Sold for 800,000Tsh. Pm or call for more info:0782221405
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Nyumba ina vyumba vinne na sebule na dinning room,ina tiles, pia ina umeme na maji, ina uzio(gate) pamoja na frem moja ya biashara na ina parking nzuri ya gari. plot imepimwa no.1870 nyumba ipo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nataka kuanzisha vdeo library so anayeuza Kwa Bei jumla plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bajaji inauzwa, kwa mawasiliano zaidi tuma PM kwangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba ipo kinondoni ada estate unaingilia kinondoni makaburini. ina vyumba 3 kimoja master jiko na sitting room kubwa, umeme na maji yapo. compound inatosha gari 2 mpala 3 .bei lak 5 kwa mwezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamii? hope ni poa, naombeni msaada wa info. hapa, nahitaji blank dvd zile za 8GB, wapi naweza pata hapa town na bei yake ni ngapi? Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia. Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk. Malipo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama unayo unauza au kama unaMjua mshikaji anayeuza kwa bei ya mkononi, iwe mpya ama used iliyo katika hali nzuri, nicheck kwa 0715841111. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
karatu ni mji wa kitalii unaokua haraka ikiwa una ndoto ya kuwekeza hapa unahitaji kupata uwanja mdogo wa gharama nafuu, kuanzia laki tano hadi m.ishirini au zaidi usiumize kichwa kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza kiwanja changu kipo makaz mapya Itezi mbeya manicpaa, 610msq, kipo karibu na shule ya secondary Itezi, documents zote zipo, its only 3m
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tupo Opposite Mlimani City Contact Us: 0712088126 0716349012 TRay Tsh.13,000/= Yai Moja Tsh. 450/=
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna mnunuzi wa asali au anae elewa wapi naweza kupata soko zuri naomba msaada wenu nauza kwa jumla na sio rejareja
0 Reactions
3 Replies
2K Views
For Native Swahili and Other African languages needs – Translation, Interpretation, Transcription, Teaching, Cultural tour visits and many more, look no further now: Languages Africa, Home...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wATAALAMU NAOMBA MSAADA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUOKOA PICHA KWENYE DIGAL KAMERA AMBAZO ZIMETOWEKA BAADA YA KUWEKA MEMORY KAD AMBAYO HISI ILIUWA NA VIRUS......NI PICHA MUHIMU SANA KWANI ZIMEBEBA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom