Msaada: Clearing and Fowarders.

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Wadau,

Nahitaji hawa wataalamu kwa ajili ya msaada wa kupokea na kuniletea vifaa vyangu porti ya Dar.

1. Je, ni gharama kiasi gani kushughulikia zoezi zima?
2. Ni mambo gani yanahitajika?

Nahitaji majibu ya haraka, aliyetayari anaweza kunisaidia.

Asante.
 
Na masuala ya TAX inakuwaje?

Mkuu ili upate majibu ya masuali yako inabidi utoe maelezo zaidi. Kwamfano
1. Unasafirisha kutokea wapi
2. Ni vifaa gani unasafirisha
3. Ni kiasi cha vifaa unavyosafirisha
 
kuna mtu namfahamu ana-clear mizigo,cost yake ni 1% ya CIF value ya mzigo.kwa maelezo zaidi niPM ili niweze kukulink nae.
 
mh! 1% ya cif! Sitaki kuamini kama ni kwa mizigo yote kwani kuna mizigo ina cif ya 2000 usd then ucharge 1%, ktk akili za kawaida au hata za kudesa basi does it make logic!
 
ndo kazi ya mtu hiyo sasa,anafanya clearing kila siku,na ndivyo apatavyo riziki yake,akiclear mizigo yake hata mitano kwa siku yenye CIF ya 1000 USD,anaingiza hela nzuri tu,,,

Back
Top Bottom