Gari ya harusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ya harusi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKOBA2011, Aug 30, 2012.

 1. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata gari nzuri kwa ajili ya harusi nyeusi aina ya Noah new model Morogoro arusi mwezi wa tisa anifahamishe bajeti sh 150,000/= Nawakilisha.
   
 2. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mkuu weka vitu na nukta zina umuhimu sana kwenye sentensi
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kweli utoto tatizo,kwanini ujipe tabu yote hiyo. fanya lile ambalo unauwezo nalo. kwanza ukiangalia huyo mke mwenyewe jamaa zako ndio wamekuolea kwa kuwasumbua sana na visms vingi kuwahamasisha michango. Dogo furaha ya familia siyo gharama za harusi, furaha ni maishani hizo pesa acha kuzichezea. Ukiangalia ndugu zako wapo ambao maisha yao ni hohe hahe kiasi kwamba ukiwapa elfu hamsini tu wataona umewatoa ile mbaya sasa wewe unawaza kutafuta umaarufu kwa watu huku ndugu zako wakiendelea kusumbuka. ULIMBUKENI NI NONA.
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unamaanisha Nona, Nono au Noma?
   
 5. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Jamani ebu mueleweni mwenthenu....
   
 6. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .Da vijana mna kazi bila shaka we ni wale ambao toka asubuhi mpaka jioni mnashinda mitandaoni kupoteza muda. Maana shule umeenda ajira huna, hujifunzi new knowlege but kucomment upuuzi fanya kazi kijana frustuation zitakuuwa Kazi hakuna sasa.UTABAKI NA FITINA WENZAKO WASONGA MBELE.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  HaMnuki KIkwapa? nilikodisha gari langu kwa maharusi, ikarudi gari nzima inanuka kikwapa, ikabidi lisitumike wiki nzima, tumeacha milango na madirisha wazi na kutumia njia nyingine za kutolea harufu. Laki mbili niliziona chungu. Sijui walidinyana kwenye gari wakaacha harufu ya kikwapa kilichokubuhu.
   
 8. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I think it is better to comment in any topic while you are in the frustuation free situations. Because I know in our country nowdays there are so many people who are educated enough but half of them are frustuated due to unavoidable circumstances. Which I think we need more psychologist to councel them concerning how to handle life after school.Elimu siyo maisha vijana fanyeni kazi hata za kujiunga vikundi mtakaa kupika majungu mtandaoni na umri unaenda at the end of the day unakuwa tegemezi kwa jamii bora tungesomesha mawe tungejengea kuliko wewe unaenda shule point unazoccoment ni sawa na kijana wa kule sitimbi ambae hajaona hata darasa moja.NAWAKILISHA.
   
 9. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  acha kupangia watu maisha yao .... big shame
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hujajibu swali bado, umelikwepa, kwa hiyo hau qualify kukodisha gari langu. Typical.
   
 11. d

  destiny1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  well said
   
 12. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Ni mara chache mno mtu unaweza ukasema ukweli halafu pogo akaukubali moja kwa moja. Ipo siku maneno niliyoandika hapo utayaelewa vizuri sana. Dogo wapo wengi sana tunawaona wanafanya harusi za gharama sana kisha after one month anaanza kukopesha pesa kwa washikaji zake. na wapo waliojiona wajanja kwa kuwasumbua washikaji zao kuwachangisha michango na walipoona mamilioni yametimia ya kutosha wakaahirisha tar ya harusi na baada ya masiku wakasikika eti harusi wamehamishia mikoani, kwani anajua mikoani gharama zitakuwa kiduchu na pesa zingine ataanzia maisha. kama uwezo wa kuona na kuelewa hauna basi sikiliza unayofundishwa.
   
 13. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Maneno kama haya uliyoyaandika yanaitwa UMBEA .... meta mada anatafuta gari ya kukodi Noah wewe unakuja na mambo ya habari za ufahari ..... soma uelewe kwanza .... haya badala ya kumshauri afanye nini wewe unalalama tuu .... yeye amepata mchumba sasa unataka asimuoe kwa kutumia culture wether western or traditional ceremonies or both ...... hao hao waliooana bila ceremony Ndiyo guarantee hawatashindwa maisha .... acha kila mtu ajichagulie lake ..... hayo unayosema unaelimisha ni common sense ....
   
Loading...