Natafuta Bajaj ya kununua kwa TZS 1,000,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Bajaj ya kununua kwa TZS 1,000,000/=

Discussion in 'Matangazo madogo' started by baraka607, Aug 30, 2012.

 1. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu,
  Napatikana dar na natafuta bajaj ya kununua kwa million moja pesa ya mtanzania. Iwe katika hali nzuri na inafanya kazi. Mwenye kuwa nayo tuwasiliane kupitia 0753196849.
  Ahsanteni.
   
 2. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  U r kidding right?
   
 3. N

  Neylu JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mmmh... Bajaji kwa bei hiyo??
   
 4. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haina ulazima kila post ukipita lazima uandike mzee. Wapo waliopata kwa bei hiyo ko mwenye nayo atanicheki tu. ko we kula buyu tu me kuwa serious au la najua mwnyw.
   
 5. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watu kwa kujikuta ma agent' nyie tulieni.
   
 6. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ninayo bajaji lakini kwa hali yake ninavyoiona ntakupunguzia laki mbili...
   
 7. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Ntakupa yangu kwa 1.5m coz iko kwenye hali nzuri! Nicheki 0715763186
   
 8. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  We nakuelewa mzee koz tumeshafanya biashara nying tu' hata baiskeli huna. Ko kula kimyaaaaa
   
 9. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Poa mkaka' kwa sasa nimesafiri kufuata mzigo ila nikirudi ntakucheki. Shukran
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwani bei ya Bajaj mpya inaanzia kiasi gani?
   
 11. a

  ammah JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpya ni 5.5m
   
 12. C

  Concrete JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kumbe inagharama hivyo, inaonekana ni usafiri wenye umuhimu sana.

  Wadau embu tuelezane umuhimu wa kipekee wa bajaji ukiimili iwe kwa matumizi binafsi,kikazi au kibiashara.
   
 13. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ninayo bajaji ukitoka kuchukua mzigo wa wizi south nicheki
   
 14. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hahahaha eti mzigo wa wizi' unaishi kwa mazoea eeehe. Poa bro tutachekiana i still got ya number
   
Loading...