Mbwa anahitajika

Mbwa anahitajika

Obhusegwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2008
Posts
231
Reaction score
30
Hello wadau.

Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let me know. Haijalishi ni aina gani, la muhimu awe trained vizuri. PM me au reply kwenye thread ni jinsi gani naweza kumpata. Ahsante
 
nenda pale namanga hospital ya mbwa watakupa dar zote kama upo dar lakini au pita victoria huwa wanauzwa mbwa pale ni hayo tu..
 
Hawa policcm wenyewe ni majibwa tosha si ume ona mafinga walivyo fanya!We nenda
kwa IGP bila shaka atakupa mbwa
policcm,anao wengi sana!
 
nina mbwa aina tya german shephard miezi minne bado trained unaweza kumuona
 
Hello wadau.

Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let me know. Haijalishi ni aina gani, la muhimu awe trained vizuri. PM me au reply kwenye thread ni jinsi gani naweza kumpata. Ahsante

Toa mawasiliano yako unajua wanao uza mbwa wengi awana muda wa kuingia mtandaoni toa number tukupigie
 
PM me.....wako trained,species mbalimbali,with clinic cards and all other required documents.ila wanapatikana Arusha,wewe au atakayekuwa anamhudumia atahitaji kuwa trained pia,ili aweze kuhudumia.kwa sasa kuna species zifuatazo 1.German shepherd 2.doberman spincher 3.Rotweiler(aina ya bulldogs)...all are trained guard dogs...price ni kuanzia 500USD.
transport to where u are is another package.

refferals wa JF i've done business with include:Roullete na Puppy
 
Ahsante sana wote ambao mmesoma uzi wangu na wengine tumeshaanza kuwasiliana ili kukamilisha biashara. Thanks JF for this platform. Ahsante mkuu snotchet, ila kwa sababu nipo Dar itakuwa vigumu kumchukua Arusha, so ningependelea nipate wa hapa hapa dar. I hope nitaweza kumpata through this forum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom