Total car body stickers

Total car body stickers

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wana jf. Nilikua nauliza wapi wanapoweka sticker za gari ambazo zinacover gari zima. Kuna magari yapo yana black color ambayo haing'ai. Au kama ni rangi basi naomba kujuzwa ni wapi huduma hiyo inapatikana

Kama nimekosea jina na kuita sticker wkt zina jina lake naomba samahani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom