sitaki lawama;HII NI KWA WANAWAKE TUkitu ni moto moto moto sana.

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
sitaki kulaumiwa na mdada,pendeza kwa nafsi yako,BEI ZETU NI NAFUU SANA

shingo1.jpg sikio.jpg sikio1.jpg sikio2.jpg sikio5.jpg sikio6.jpg sikio8.jpg sikio98.jpg sikio9.jpg

kwa mawasiliano zaidi director@ihamsolar.com
director@ihamsolar.com,engmtoleraibrahim@yahoo.com,engmtoleraibrahim@gmail.com

kuwa huru,utaletewa hadi mlangoni
 
Acha hizo wewe,wengine tumeoa humu natunajua vitu vizuri,mbaya zaidi mke wangu nikimnunulia kitu mimi ndio huwa anakijali kuliko!!Sasa wewe unamaana gani kusema kwawanawake tu nahutaki lawama!Unakumbuka yule mgombea ubunge sijui niwa Arusha ipi?Si alitoga masikio yule?Hazimfai hizo apo kwachini?
 
Heading yako mtori kabisa, kwani hakuna wanaume wanaoweza kuona na wakawanunulia wake au wapenzi wao mpaka uwe specific namna hiyo????

Unajua biashara kweli wewe?????
mzee wa Rula
kalaga bao,sisi tunasonga mbele,tulianza na tracking system,solar power,nguo za watoto,sasa tupo ktk SITAKI LAWAMA KITU MOTO MOTO MOTO SANA
IHAM Solar Suppliers
 
Acha hizo wewe,wengine tumeoa humu natunajua vitu vizuri,mbaya zaidi mke wangu nikimnunulia kitu mimi ndio huwa anakijali kuliko!!Sasa wewe unamaana gani kusema kwawanawake tu nahutaki lawama!Unakumbuka yule mgombea ubunge sijui niwa Arusha ipi?Si alitoga masikio yule?Hazimfai hizo apo kwachini?

huwa hatuongei sana sisi ihamsolar,soma namba mwenyewe
yes.jpg
 
oohh my wife wangu asijekuona hii kitu atasumbua sana nilinwahidi uongo
 
Back
Top Bottom