Mitsubishi pajero io 5 doors
BKE registration..
Never overhauled
Single owned for 15 months in tanzania., bought from YUASA AUTO IMPLEX last year
Run in excellent condition
Surrounding sound...
HABARI WADAU
Na habari nzuri nataka kuwatangazia kwa wale ambao wanahitaji na wana tafuta nyumba ya kifamilia.(YAKUPANGISHA)
NYUMBA INA
VYUMBA 3(1MASTER BEDROOM)
CHOO CHA NDANI 1
CHOO CHA NJE NA...
Habari zenu wadau! nahitaji kununua gari toyota ist ambayo ipo katika hali nzuri.
Specifications
1. Rangi yoyote kasoro nyeupe, nyekundu na dark blue (blue bahari haina shida)
2. Ndani iwe safi...
Wadau natafuta nyumba/chumba na sebule katika manispaa ya Morogoro hasa maeneo ya Bigwa yote mpaka mwanzo Mgumu,Misongeni,Kola na nanenae au popote ndani ya manispaa ya Morogoro,kikubwa vyumba...
Heshima kwenu wadau wa JF,
Naomba kwa watu walio Arusha nahitaji kupata nyumba ya kupanga haraka sana,
tafadhali kama kuna affordable apartment itakuwa ni chaguo la kwanza, kama bei ni aghali...
Easy -Easier -Easiest Advertising Centre Just click . Arusha Online: ARUSHA ONLINE
The BlogSpot that brings customers close to you
Our rates have deliberately been kept low to give...
Wana JF ninauza GPS Magellan Explorist 100 ambayo hutumika na maofisa ardhi kujua coordinates za kiwanja katika hatua za mwanzo kabla upimaji mkubwa haujaanza. Hii husaidia kujua location na...
Wajamaa,
Hii carry- truck hapa inauzwa. Inatoka bandarini wiki hii, wahi uipate. Bei ni TShs 7,600,000 tu!!!
Imelipiwa kila kitu mpaka sticker ya fire, unaweka tu number plates na bima...