john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
simu inafanya kazi vizuri
os ni android 2.3.7 (gingerbread)
simu imetumika kiasi,ina scratches chache sana kwenye screan,ina uwezo wa kusupply wifi na pia inaweza tumika kama modem.
installed application ni kama:::
watsapp,
opera handler(watumiaji wa voda hapa mna advantage kwenye internet)
tuneIn radio
dstv(kwa voda pekee)
simu ina scratches mgongoni kwenye mfuniko.
INAKUBALI LAIN ZOTE(UNLOCKED)
Bei ni laki moja tu (100,000)
unapata na usb cable yake
Masiliano ya awali ni-PM.simu ipo Dar es Salaam