M Mbwambo JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 625 Reaction score 95 Nov 8, 2012 #1 Nimekata tamaa ya kuendelea na biashara hii mwenye kutaka naomba aniambie awasiliane nami kwa no. 0652 131653 karibuni
Nimekata tamaa ya kuendelea na biashara hii mwenye kutaka naomba aniambie awasiliane nami kwa no. 0652 131653 karibuni
Who Cares? JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 3,507 Reaction score 3,376 Nov 10, 2012 #2 Kwanini umekata tamaa?...na kama unaiuza unauzaje?
MJUKUU WA KACHUNDU Member Joined Nov 6, 2012 Posts 48 Reaction score 23 Nov 10, 2012 #3 Pole kwa kukata tamaa,mi nadhani hukufanya utafiti kabla ya kuanza biashara uliingia kwa shinikizo tu,jipange tena mkubwa
Pole kwa kukata tamaa,mi nadhani hukufanya utafiti kabla ya kuanza biashara uliingia kwa shinikizo tu,jipange tena mkubwa