Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

mulashan

Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
17
Reaction score
2
Ina vyumba 2, dinning room, sitting, master room 1, choo ndani. Ipo kariakoo mchikichini karibu na TBL. Bei ni Tsh 600,000,000. Maelewano yapo.
Mawasiliano: 0755 498013
 
vyumba viwili harafu unauza million 600,tanzania kweli shamba la bibi,tena sehemu ya mchikichin karibu na tbl kunanuka harufu ya bia pombe,nyumba zimebanana kama slum za kibera kenya au brazil,
utauzaje nyumba million 600 harafu usiweke picha!!!!!!!!!!!!!!
sijui vile mnafanya biashara tena karne hii
 
hivi huu mbona ni wehu...mil 600 si bora ununue masaki baharini u enjoy life.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom