weka picha ili watu waone kama nyumba ina azi ya hiyo bei,ivo ndio watu wanavyofanya biashara duniani,maneno bila watu kuona ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia,watanzania tuwe serious na biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.