Viwanja viwanja viwanja vinauzwa kwa bei nzuri

Viwanja viwanja viwanja vinauzwa kwa bei nzuri

EddyBoy15

Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
6
Reaction score
0
wanajamvini viwanja 20 viko sehemu moja,vinapatikana luchelele karibu na kwa mkurugenzi,Vimepimwa na vimetengwa kwa makazi ni vizuri kabisa,documents zote zipo,anahitajika mteja wa haraka atakeweza chukua vyote,bei ni milioni 48.anayehitaji anakaribishwa kuviona na kucheki document zote na ramani.nawakilisha kwenu
 
Nahisi 15 ndo umri wako.
Huwezi ukataja tu luchelele kana kwamba kila mtu anaijua.
 
Vipo hapa hapa Sumbawanga? Mbona kama bei ni kubwa sana kwa viwanja vya sumbawanga,ingekuwa ni Dar au Moro sawa
 
Itakuwa Mwanza hiyo!! sema huyu mleta tangazo ni kama alikuwa anafukuzwa na mwenye viwanja!!
 
Luchelele ndio wapi?Iraq au!weka details za kutosha wewe acha kukimbia
 
Ndugu elezea kidogo location
maaana hawa wanaokusoma sio wa Mwanza tu .
Pia waweza onyesha location kwa google map: (Google Maps)
 
mbona hujaelezea vizuri wewe? unaharaka kama nin, weka location vizur.
 
Nahisi 15 ndo umri wako.
Huwezi ukataja tu luchelele kana kwamba kila mtu anaijua.
Tena eti kwa mkurugezi? Mkurugenzi yupi huyo? Tangazo changa hili, ingekuwa mimba ni changa ya siku mbili!!! Madalali jifunzeni lugha ya biashara, hii jumuia ya Afrika ya mashariki na udalali utakuwepo na hamtaweza kupambana nao!!! Kila kitu huru!!! Eti kiwanja luchelele kw mkurugenzi, eboo!!! Anza kiwanza kipo/vipo kuchelele je iko mkoa gani, wilaya ipi, tarafa, kata, kijiji/manispaa/halmashauri/mji, n.k weka urefu kutoka barabara kuu, huduma muhimu, vimepimwa hati/offer, na mambo murua ya kuvutia biashara!!!
 
Milioni 48 kwa kuwa kipo karibia na kwa mkurugenzi??????????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom