Jiko na mixer ya bakery zinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiko na mixer ya bakery zinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Sep 29, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote vinatumia umeme mkubwa (3 phase)Kiukweli tu ni kwamba nilivituma miaka miwili iliyopita kutoka uingereza lakini hatujawahi kuvitumia kwasababu zisizoweza kuzuilika na kwakuwa sipo huko na watu niliotegemea kufanya nao biashara haikuwezekana.Hili jiko ni zito sana linahitaji usaidizi wa winch ili kulibeba kwa uangalifu na uzuri wa hili jiko vilevile unaweza kulifungua ktk deki 4 na ukilifikisha linapokwenda unaliunganisha.Hii ni biashara ya uhakika wala haikutupi na sehemu yoyote.Vifaa hivi vipo mkoani Dodoma na Bei ni milioni 6.5 kwa zote mbili naomba uwasiliane na Ali 0714343031 au 0754295614 au 0784295614

  12 (1).JPG 12.JPG
  12 (2).JPG 12 (4).JPG 12 (3).JPG
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,683
  Trophy Points: 280
  Hiyo biashara inalipa,ila mkuu kusafirisha huo mzigo ndo balaa,kama ungeweza kulisogeza Dar ungeuza kwa bei nzuri tu!
   
 3. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni ngumu mkuu kwakuwa sipo huko, na vilevile mtu mwenye kuhitaji kiukweli sidhani kama ni tatizo kwake kwasababu ni kupatana bei tu na mtu mwenye lorry ambae anasafari ya kwenda Dar au kokote utakapo.Kwani wapo wenye kupakia mizigo ya mikoani na wanaweza kukupakilia kwa bei ya mapatano tu.Inawezekana mteja anaelitaka anahitajia kwa Mwanza,Arusha na kwengine kwahiyo sioni tatizo.Ila mkuu ni biashara ya uhakika tena hasa mikoani au mipakani unarudisha hela bila ya wasiwasi.
   
 4. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Hii biashara nasikia ni dili sana. sasa kwanini unauza vifaa hivi mdau?. Niambia ni vipya au used ya ulaya. kama zikiharibika vifaa vitapatikana wapi?!, je brand name zake zinaitwaje?.
  Asante!
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  mbona kama hizo picha zimepigwa kizota industrial area?
  Pale dom mana naona magari hayo
   
 6. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kiukweli mkuu hii biashara moja inalipa na inauhakika ikiwa umejipanga vizuri.Hivi vifaa tumenunua Uingereza vikiwa vimetumika lakini vilikuwa vina hali nzuri.Tumenunua katika baadhi ya bakery zinazofungwa kutokana na uchumi kuanguka.Wengine wanakuwa wanazo bakery labda 3 au 4 sasa anashindwa kuzisimamia kutokana na matumizi ya pesa ni nyingi hivo wanazifunga baadhi na kubaki na moja au mbili.

  Lakini tokea tumezileta hatujazitumia hata moja na hii inatokana na kuangushwa na ndugu yetu ambae tulikubaliana tushirikiane kwakuwa yupo huko.Lakini matokeo yake hakuna alichofanya ila kutuambia tusubiri kwanza.Na kama huko mwenyewe mkuu hakuna kitakacho fanyika na hatimae vifaa kutokana na hali ya hewa ya Dar na chumvichumvi zinachujuka hata rangi.Na nyingine zinafanya kutu kwasababu sehemu zilipo ni karibu na bahari.Na ndio maana nikasema zinahitaji usafi na service ili ziwe ktk hali ya uhakika.

  Hizi mashine unaweza kuingia ktk internet uone zilivo ghali huku lakini hakujali kiasi gani kimetumika na kututia hasara.Na kwa hasira naona kwasababu sijakuwa tayari kurudi inabidi niziuze tu hata kama hatuta rudisha hela zote.Lakini nafikiria nizihamishe zile mashine zilizopo Dar kwasababu pale zilipo sio pazuri na sasa namsubiri kuna rafiki yangu anakuja yeye anayo fremu ya duka hapo ilala ndio nitazipeleka ili nimtafute mtu wa kuzisafisha na angalau itakuwa rahisi kwa kila mtu kuzitembelea.

  Hizo unazoziona ndio zipo Dodoma lakini hizi zimetunzika vizuri havina shida sio kama vya Dar ni kwasababu hali ya hewa dar ni joto na chumvi ya bahari inachangia.
   
 7. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah!!! umesema kweli sio uongo zipo ktk garage mojawapo.
   
Loading...