Laptop inahitajika

Laptop inahitajika

puravida

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
74
Reaction score
2
Specification
1.Iwe na 4GB Ram
2.Iwe na 500GB Harddisk
3.Isiwe mini laptop
4.Iwe katika hali nzuri
5.Iwe nA bluetooth,wi-fi,webcAm

Bei iwe 500,000/=
MawAsiliAno. 0785308076 au 0712338291
 
Kama sehemu ya ushemeji wetu au biashara peke yetu?

Kama dada yako kauziwa moja yenye specs hizo kwa bei hiyo, basi tambua sio bei yake, kapewa kwa sababu ni wa kike na hapo huna haja kujiuliza muuzaji alikuwa wa jinsia gani.

Careful mwanangu, hali mbaya nje
 
watu wngn bhana..we kama huna c unyamaze wajb wenye nazo
watu wananunua had kwa laki4,tena nzuri itakua hyo lak5 unamwambia mwnzio maneno hayo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom