Nina nafasi kwenye nyumba yangu inafaa kuweka atm - ma bank changamkia

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nyumba yangu inataza barabarani na inafaa kwa kuweka ATM. NAKARIBISHA MAOMBI KWA MA BANK MBALI MBALI
WANAWEZA KUNITUMIA MAOMBI KWA EMAIL YANGU: Mbwambo53@gmail.com

KARIBUNI
 
Acha ukilaza siyo kila nyumba inayotazama barabara inafaa kuweka ATM, specify ipo mtaa gani na bara bara gani ili watu wajue kama kuna haja ya kuwa na Atm eneo hilo na kama panafaa kuweka Atm au la, hebu jiulize ni nyumba ngapi zinatazamana na barabara toka City centre mpaka Bagamoyo na kuna Atm ngapi jumla?
 
Jamii forums inasomwa na watu wa kila aina wenye hekima na busara na hata wasio na vitu hivyo hivyo wala sijali kuambiwa mimi ni KILAZA ASANTE SANA.
 
Ingekuwa ni hivyo kutoka City center mpaka ubungo pangejaa ma-ATMs pembezoni mwa barabara, watu wengine bana siyo serious inawezekana ana nyumba nzuri na eneo zuri kwa ATMs lakini marketing yake itafanya watu wamjaji kwamba ni mlevi fulani.
nimepata idea mi nitajenga nyumba naweka huduma za kibenk maduka hosptal kila kitu ndani..sembuse huyu atm mnamnanga humu
 
nimepata idea mi nitajenga nyumba naweka huduma za kibenk maduka hosptal kila kitu ndani..sembuse huyu atm mnamnanga humu

Kama ni hivyo hata nyuma yangu inafaa kwa ATM maana kwa mbele pana barabara ya vumbi maana hapa hatuja specify barabara za aina gani
 
nenda ukawatembelee managers wa Benki mbalimbali waone kama location inawafaa,wao wataangalia soko zaidi yaani wingi wa watu,mzunguko wa fedha na biashara ikoje katika eneo hilo.

hebu taja uko mtaa gani then tukupe ushauri zaidi.
 
nenda ukawatembelee managers wa Benki mbalimbali waone kama location inawafaa,wao wataangalia soko zaidi yaani wingi wa watu,mzunguko wa fedha na biashara ikoje katika eneo hilo.

hebu taja uko mtaa gani then tukupe ushauri zaidi
.

Angeweka hayo angepata ushauri mzuri sana sema na yeye ameandika tangazo utafikiri kashikiwa SMG kaelekezewa kichwani.
 
nenda ukawatembelee managers wa Benki mbalimbali waone kama location inawafaa,wao wataangalia soko zaidi yaani wingi wa watu,mzunguko wa fedha na biashara ikoje katika eneo hilo.

hebu taja uko mtaa gani then tukupe ushauri zaidi.

Asante kwa ushauri wako nitafanya hivyo
 
nenda ukawatembelee managers wa benki mbalimbali waone kama location inawafaa,wao wataangalia soko zaidi yaani wingi wa watu,mzunguko wa fedha na biashara ikoje katika eneo hilo.

Hebu taja uko mtaa gani then tukupe ushauri zaidi.

nisingependa kuataja mtaa kwa sasa ila nitaufanyia kazi ushauri wako nami pia nimeelewa kwamba wao wanataka mahali kwenye mzunguko mkubwa sana. Mimi kwa mawazo yangu nilidhami ni kwa vile ho mtaa /kijiji hakuna atm nikaona ndio sababu pekee so nimeelewa nashukuru sana wana jamii forums
god bless u all
 
Back
Top Bottom