Kiwanja kinauzwa Kibaha

Ndamwe

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
203
123
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja kinauzwa kipo Kibaha kwa Mathias eneo linaitwa Jamaika. Bwei maelewano. Kipo barabarani, kuna bomba la maji linapita na umeme upo palepale. Kuna michungwa, miembe na mitiki kiasi. kwa mawasiliano 0762354090 au 0787354090
 
Angalau ungeanza na bei kwanza halafu maelewano baadae kwasababu huwezi kutangaza biashara bila ya bei ya kuanzia na kuomba maelewano.
 
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja kinauzwa kipo Kibaha kwa Mathias eneo linaitwa Jamaika. Bwei maelewano. Kipo barabarani, kuna bomba la maji linapita na umeme upo palepale. Kuna michungwa, miembe na mitiki kiasi. kwa mawasiliano 0762354090 au 0787354090
Panafaa kujenga sheli au yard ya malori?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom