Nyumba ya vyumba viwili na baraza inauzwa kinyerezi tshs. 15,000,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya vyumba viwili na baraza inauzwa kinyerezi tshs. 15,000,000/=

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Oct 10, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kwa maelezo zaidi wasiliana na muhusika anaitwa spora no. Yake ya simu ni 0652 131653
  bei yake ni tshs. Million 15
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haipungui
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  fafanua tafadhali, vyumba viwili na baraza (bed rooms, I guess,) including sebule separate, stoo, jiko, bafu ? Ukubwa wa kiwanja? this is important information
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Vymba viwili hivyo ni vya kulala bed rooms. Na kuna bafu la kuogea na choo na nimesema sitting room moja. Hakuna store room
  Ninaomba unipe muda ukubwa wa kiwanja nitakupatia baadaye maana sina hakika ila ninakumbuka kama aliniambia urefu ni square meter 21 na upana 13, sina hakika nitakupa baadaye kidogo
  Ninadhani umeelewa sasa
   
 5. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  nimeongea na mwenyewe sasa hivi:

  Urefu = square meter 21
  upana = square meter 10

  asante
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Siku hizi vipimo vya urefu na upana ni square meter? Du!!!!
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  samahani tunasahihishana, huwezi kupima length in square units- ulimaanisha urefu/upana in meters not square meters! OK. asante rafiki
   
 8. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aisee hata mimi nashangaa nikadhani kuna kanuni mpya ya vipimo imeanza kutumika!
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  noted with thanks, ngoja tutafakari. inafaa
   
 10. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahisi alitaka kumaanisha Meter, kwa kifupi 21*10 hicho kiwanja ni square meter 210, kwa mtu anayejua vema viwanja hiki ni kiwanja kidogo sana
   
 11. u

  ureni JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mbona hiko kiwanja kinakaribia size ya nyumba yangu manake nyumba yangu ni 18*10 du kweli ni kidogo sana
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kiwanja kidogo, eneo halijapimwa dah! siku yeyote wanaweza kupitisha barabara hapo au nguzo za umeme.
   
 13. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Karibu sana kaka/dada
   
 14. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante sana wewe huna maneno ya mabaya kama wengine wangenisemea mbovu
  barikiwa sana hata mimi ninapewa maelezo na mwenyewe ila naye nimemwambia atafute mtu wa uhakika asiwe anaambiwa vitu ambavyo si sahii
  ninadhani hata mimi ni meter siyo squrea meter
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  baraza zinauzwa siku hizi?
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,836
  Trophy Points: 280
  Hizo ni dimensions za nyumba au kiwanja?
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  haijajengwa juu ya bomba la gesi?
   
Loading...