Kampuni ya ujenzi(majengo & domestic house) , mambo ya ict,security systems | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya ujenzi(majengo & domestic house) , mambo ya ict,security systems

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jangakuu, Aug 26, 2012.

 1. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mnaweza kuni inbox gharama za kufunga CCTV kwenye nyumba yangu ya kuishi ikiwa vifaa vyote ni vyangu.gharama za ufundi tu..
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  do you have examples of your projects...
   
 4. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Please kwa maswali au maulizo Tuemail.email nimeiweka hapo juu, Example of projects Done ,Click link niliyokupa hapo juu,utaona baadhi ya kazi zetu tulizowahi kuzifnya.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kuweka Electric Fense ya kiwanja cha 30mx25m(55mx2) mnachaji sh ngapi?
   
 6. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kampuni za ujenzi huwa hajitangazi bali kazi ndo inawatangaza bwana acha kuwaibia watu hapa kma uko vizuri nunua tender nenda kashindane na wenzako huko hayo sio maadili ya kampuni za ujenzi
   
 7. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Du!!!!
   
 8. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  e

  kaka tuna warahisishia kwa wale wanaotaka kujenga majumba ya binafsi wasioweza hata kushindanisha kampndauni kwa kutangaza tenda. ushauri wako mzuri lakini umekurupuka
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Cctv gharama zenu ni shi ngapi?
   
 10. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mafundi nimeatumia email kwa anuani mliyotoa mbona hakuna majibu mpaka sasa?
  Nitumieni basi kwa private email jamii forums nimeatumia tangu asubuhi hamjibu mpaka sasa?
  Asante
   
Loading...