Tangaza Marketing Solutions(TMS):
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions:
Lengo kuu ni kuwasaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kujua Wateja wao na Wateja kujua huduma...
Tahadhari kwa Wanaouziwa Viwanja Ufukweni Eneo la Kimbiji Eneo la Ufukwe *IMETOLEWA*
tahadhari kwa wale wanaotangaziwa kuuziwa Viwanja vya Ufukweni eneo la Kimbiji. Wanunuzi...
Khabari wanajamii! nina kiwanja changu nakiuza kiwanja kipo maeneo ya tegeta wazo mtaa wa umoja road, kiwanja kina ukubwa wa mita 35 kwa 40 bei yake ni ml 13 miundo mbinu ya umeme, maji, barabara...
Samsumg ch@t 322 niliyoinunu mwez huu naiuza laki na 35. Ina qwerty keypad au unaweza kuigoogle ukaiona picha zake vizur. Sababu ya kuuza ni kutokana na matatizo. Kwa aliyetayari ani-pm nimtumie...
​Nyumba inauzwa ipo Magomeni kanisani. Nyuma ya kanisa mtaa wa Luponda. Nyumba ina eneo zuri kwa biashara ya hotel, nyumba ya wageni (Guest) Makazi binafsi au kupangisha.
Price: TSH...
Quality products for best price
Blackberry mpya 9900 kwa 700,000
Blackberry 9700 kwa 320,000
iphone 4s ya 16gb kwa 850,000
iphone 4ya 16gb kwa 650,000
Samsung Galaxy S3 kwa 900,000
kama...
Jamani naomba mnijuze wapi naweza pata madirisha ya alminium kwa bei nafuu
Madirisha yapo kumi na tatu yana ukubwa wa 5 kwa 6 feet, na 2 kwa3 yapo manne