Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

nzobanga

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
14
Reaction score
0
Jamani naomba mnijuze wapi naweza pata madirisha ya alminium kwa bei nafuu
Madirisha yapo kumi na tatu yana ukubwa wa 5 kwa 6 feet, na 2 kwa3 yapo manne
 
Nipo Dar es salaam nafanya kazi posta ila nakaa mlandizi
 
Mzee nahitaji madirisha 5kwa6 13 kwa Tshs 230,000/= na 3kwa2 Tshs 90,000/=

230,000*13=2,990,000
90,000*4 = 360,000
Jumla 3,350,000
kama unakubali offer tufanyabiashara
 
Mzee nahitaji madirisha 5kwa6 13 kwa Tshs 230,000/= na 3kwa2 Tshs 90,000/=

230,000*13=2,990,000
90,000*4 = 360,000
Jumla 3,350,000
kama unakubali offer tufanyabiashara

Kuna jamaa wanaitwa CADSP au kitu kama hicho wapo maeneo ya Kariakoo wanafanya kazi nzuri na gharama kama hizo ulizoandika. Walinifanyia kazi nami nipo mwelekeo huo wa kwako
 
Utatiwa ndimu sasa hi kwa kutaka vya rahisi kama una nia niPM no yako nitakukupa no ya mtu atakaekufanyia kazi bila usumbufu wowote ule?
 
CADASP ni wachina na EMIRATE ni waswahili...cha muhimu tu kuwa makini na thickness ya chuma unayoitaka
 
Back
Top Bottom