Nyumba inauzwa Magomeni Kanisani Mtaa wa Luponda.

Makbel

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
774
165
​Nyumba inauzwa ipo Magomeni kanisani. Nyuma ya kanisa mtaa wa Luponda. Nyumba ina eneo zuri kwa biashara ya hotel, nyumba ya wageni (Guest) Makazi binafsi au kupangisha.

Price: TSH 150,000,000
Date Listed: Oct 16, 2012

Email Address: Click to Email
Phone: 07175777555
Bedrooms: 6
Bathrooms: 2

Amenities: Electricity Included in Rent,
Area: Dar Es Salaam -

Magomeni nyuma ya Kanisa Mtaa wa Luponda.
 

Attachments

  • Kikao Cha Tapofor 004.jpg
    Kikao Cha Tapofor 004.jpg
    636.1 KB · Views: 118
  • Kikao Cha Tapofor 005.jpg
    Kikao Cha Tapofor 005.jpg
    524.2 KB · Views: 82
  • Kikao Cha Tapofor 006.jpg
    Kikao Cha Tapofor 006.jpg
    485.1 KB · Views: 98
mmmh!!hii iliyopo nyuma ya kanisa,wakija wale jamaa wa ijumaa si wanaweza kuunganisha hadi nyumbani kwako!!!!
 
Kilichoipandisha nyumba hiyo ni hicho kiwanja au mjengo wenyewe????? Kana unauza kiwanja kwa Tshs 140,000,000.00 halafu hiyo nyumba 10,000,000.00 hapo ni sawa, suala litakuwa je uwanja huo ni deal kiasi hicho????
 
Bongo siku hizi bila kusema million mia hujauza.Hivi nyumba iliyoko pale block 41 utasema ni ngapi? Mil 700?tutolee uchafu
 
Wewe acha ushamba. Kwa mawazo yako utapata kiwanja gani maeneo ya magomeni chini milioni 150? Siku hizi watu wanunua viwanja na si nyumba.

 
Utolewe uchafu kwani wewe ni msafi? Acha ushamba na akili mgando. Unataka maeneo kama hayo ya Magomeni uuziwe Milion 4? Yaani kusoma hujui hata picha hauioni?
 
​nyumba inauzwa ipo magomeni kanisani. Nyuma ya kanisa mtaa wa luponda. Nyumba ina eneo zuri kwa biashara ya hotel, nyumba ya wageni (guest) makazi binafsi au kupangisha.

price: tsh 150,000,000
date listed: oct 16, 2012

email address: click to email
phone: 07175777555
bedrooms: 6
bathrooms: 2

amenities: electricity included in rent,
area: dar es salaam -

magomeni nyuma ya kanisa mtaa wa luponda.

unaweza kutueleza hati yake imeisha au inaisha lini.....
 
Kilichoipandisha nyumba hiyo ni hicho kiwanja au mjengo wenyewe????? Kana unauza kiwanja kwa Tshs 140,000,000.00 halafu hiyo nyumba 10,000,000.00 hapo ni sawa, suala litakuwa je uwanja huo ni deal kiasi hicho????
Halafu sampuli hii ya nyumba ndio zile za vyoo vya shimo na karo la kujengewa ,ikifika usiku mende wanajaa uani
 
Back
Top Bottom