Wanaoweza kufanya DATA RECOVERING

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,537
1,752
Natafuta kampuni au watu wanaoweza kufanya data recovering vizuri .kama kuna aliewahi kurudishiwa data zake na watu hao anipe mawasiliano nao.
 
unaweza ukafanya mwenyewe pia,you dont have to be a proffesional kufanya hivyo,i can teach you for free,kama utakuwa tayari......
 
Inategemea unataka kurecover data za namna gani na kutoka katika device ya aina gani... Vitu kama PDA's, Smart Phones, Servers, Na Other digital formats zinahitaji tools mahiri na hazipatikani kiholela mpaka uende kwa wataalamu wahusika, kwani leseni tu za hizo softwares zinazotumika zinauzwa malaki na mamilioni ya dola...
Kwa msaada zaidi nenda Barclays Building Ulizia The Data People, Wanafanya hizo kazi Kimahiri zaidi.
Kama Ni kurudisha tu simple PDF's na .Doc files au Images, yes unaweza ukafanya mwenyewe... Wasiliana na Mdau hapo juu atakupa info zaidi.
Kama Unahitaji msaada wa kitaalamu zaidi NiPM.
 
Natafuta kampuni au watu wanaoweza kufanya data recovering vizuri .kama kuna aliewahi kurudishiwa data zake na watu hao anipe mawasiliano nao.

unataka kurecover data za namna gani na kutoka katika device ya aina gani... Vitu kama PDA's, Smart Phones, Servers, Na Other digital formats zinahitaji tools mahiri na hazipatikani kiholela..

Ulizia Techsmart, Wanafanya hizo kazi Kimahiri zaidi.Wasiliana nao watakupa info zaidi.
wanapatikana 0655 308308, 0767 102102
 
Niliwahi kupata hiyo shida nikaipeleka DATA HANDLER Wakashindwa kunisaidia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom