Photo copy machine ni kiasi gani madukani na wapi nitapa nzuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Photo copy machine ni kiasi gani madukani na wapi nitapa nzuri?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Oct 16, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani ninaomba wana jamii forums nipatieni bei ya photo copy machine size ya medium sio ile kubwa
  maan sina hela nyingi sana
  je ni bei gani sokoni na wapi nitapata ya uhakika?
  Asanteni
   
 2. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Nenda pale SENGA & CO. mtaa wa Jamhuri na Chagga utapata kitu cha uhakika na bei nafuu.
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  asante kwa kunijibu na usahuri wako\nitakwenda kuangalia
  asabte sana
   
Loading...