Viwanja vinauzwa - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa - Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kitalolo, Oct 14, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Viwanja vilivyokwishapimwa,viko sita, unapatiwa na hati sqm 914, 935, 953, 969, 986 na 1643.
  Viko moshono zamani olkeriani. Mashariki mwa njiro, bei sh 28,000/= kwa sqm.
  Mawasiliano pm au email kitalolo@gmail.com.
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Fcuk you
   
 3. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  hahahahahaha,,,,, nmeipenda hii
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Makubwa! Na wewe ulikosa kiwanja kama mimi eh?
   
 5. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Du!!!!!
  kuna kipindi mamlaka fulan ilikuwa inauza viwanja kwa shs 850/square M. kweli mkuu kwa sie walala hoi tutaweza miliki kiwanja?, kati ya hivyo cha bei rahis ni zaidi ya mill. 25, mie kwa mwezi natengeneza lak 2.5
  mwaka 250,000 X12 = 3,000,000.

  mil 25/3,000,000 = 8.5 yrs
  hapa natakiwa kipato changu chote nikupe hata Valuuu nisiguse!!

  unaumwaa nn!!!!!
   
 6. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,653
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hii nimei LIKE
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Viwanja Vya Arusha vinavipita bei vya DSM?? Imbombo ngafu,sqm ni 28,000/=??????? Duuuuuuuuuu mpigie Riz1 atanunua kwa bei hyo
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Ulanguzi ulichukiwa sana na mwalimu
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  King Kong III land value ya arusha iko juu kutokana na demand kuwa juu among other factors na wengi wa buyers ni watu wenye pesa zao including wafanya biashara wakubwa na wanasiasa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nisaidie kuwajuza wangejua thamani ya ardhi hapa arusha ikifwatiwa na nyumba za kupanga

  n atangazo hili ni kwa watu wenye hela zao
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,544
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  haya kingine cha ukweli Arusha hichi hapa .

  eneo - burka kusini block a
  urefu - hatua 50
  upana- hatua 21
  limepimwa na lina hati.

  bei 37m
  mazungumzo yapo usiogope

   
Loading...