Wapi Nitapata spea za vifaa vya ki Electronic?(kwa kununu jumla)

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Nahitaji kujua kwa Dar au Mwanza...wapi wanauza bei ya jumla vitu kama Transistor,Capacitor..Resistors,ICs,Mabaki ya vifaa vilivopasuka katika usafirishaji kama tv,dvd players na vinginevyo?.Samahani Kama nitawakosea kwa kuweka hapa huu uzi.NAHITAJI KUANZA KIBIASHARA CHA KUUZA SPEA
 
Mkuu ukiona kimya jua kua wanao fahamu hawapo, ama watujui wapi uta saidiwa, ila kwa mimi ninavyoona kwa electronics zilizo haribika kwenye usafirishaji unaweza zipata either port au jaribu kutembelea maduja makubwa yanayo jushughulisha na biashara hizo, unaweza kuomba ikitokea bidhaa zime haribika wakufahamishe ili uweze kununua.
hilo la wauzaji wa hizi capacitors, transistors na hizo zingine kwa binafsi sifahamu zinauzwa maeneo gani hapa kwetu.
 
sawa mkuu.ngoja tusubiri wajuzi
 
Maduka ya spea kwa dar nenda pale kwenye mzunguko wa shule ya uhuru kama unaelekea mnazi mmoja mkono wa kulia nje utaona wauza rimoti uliza cross raida pia mtaa wa agrei pita msikiti wa kibratein uliza duka la uzefa (silaji bohora)
 
Nenda cross road electronics ipo
Barabara ya uhuru karibu na keep left ya msimbazi
 
Back
Top Bottom