Mradi wa viwanja halmashauri ya arusha

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
Wana bodi kama mtakumbuka kuna thread ilikuwa inaelezea mradi wa viwanja halmashauri ya arusha eneo la lakilaki cha ajabu halmashauri imekuwa haieleweki kama bado mradi upo au umekufa alhali tayari wameshachukua pesa za watu na kurudisha pesa hawataki na viwanja hawatuoneshi na kuna tetesi kuna mbunge wa jimbo la arumeru magharibi ambaye ni naibu waziri wa ardhi anaukwamisha mradi huu kwa ajili ya mambo ya kisiasa sasa nahitaji msaada nifanyaje niweze pata pesa zangu au kiwanja ?
 
Back
Top Bottom