Nafasi ya kazi ya secretarial na graphic design,
ofisi ipo sinza
anahitajika msichana,mdada mwenye sifa zifuatazo:
1.awe amesomea na kupata uzoefu wa kazi kwa program zifuatazo:-...
jaman habari zenu nina laptop ninaiza
info:
Mac power book g4
inchi 17
1 gb ram
hardisk 74.5 gb
operating sys; mac os x 10.4.11
price 450000 tu.
contacts
0716231838
au
0762984639...
Yeyote mwenye contact za wapi naweza pata taa za mbele za gari aina ya Ford Focus tafadhali. Nimetafuta baadhi ya spea za maduka bila mafanikio. ​
Nimeattach picha ya aina ya gari hilo kwa...
Kwa yeyote anayetaka kununua "Used Like New" photocopy mashine zinapatikana Dar es Salaam, Magomeni.
Aina ya photocopiers zilizopo ni
Canon IR2016
Canon IR1600
Canon IR1610
Canon IR4570
Canon...
Natafuta nyumba inayojitegemea au compound yenye nyumba chache, vyumba 2 ,kimoja masters, jiko safi, sebure na vinginevyo...maeneo changanyikeni,mwenge, kijitonyama, kurasini, kigamboni au chang'ombe.
2 Acres Shamba inauzwa Kibamba.. Iko km 5 na barabarani.. Bei 35million na maelewano yapo.. If you are intrested, pls call this number.. 0779778888. 0684517161
Wadau nina gari aina ya Renault. Natafuta engine ya Gari ndogo aina ya Toyota yenye cc around 1500. Mafundi wameniambia inawezekana kufanya modification na kuiweka gari katika hali ya kawaida...
wanajamvi, kwa anayejua fundi mzuri wa kutengeneza simu za blackberry, tatizo ni simu iliingia maji ikazima, haiwaki kabisa
Naomba kwa anayejua ani PM contacts.
Nguo aina ya batiki zinapatikana kwa bei ya jumla na rejareja. Moja ni 1000
lakini jumla ni 7000 kwa moja. Ni-PM kwa maelezo zaidi na mawasiliano. Karibu...