Wadau nina gari aina ya Renault. Natafuta engine ya Gari ndogo aina ya Toyota yenye cc around 1500. Mafundi wameniambia inawezekana kufanya modification na kuiweka gari katika hali ya kawaida. Tafadhali mwenye nayo ani PM.