kwa WANAFUNZI NA WAALIMU WANAOTAFUTA VITABU

Dec 1, 2010
68
4
Kwa mahitaji ya vitabu vya aina mbalimbali, calculators, na batteries za simu na camera, chargers, power supply ambavyo huwezi kuvipata hapo Tanzania kirahisi, ebu tuagize sisi tukufatulie kwenye masoko ya vitabu duniani na kisha kukuletea hapo Dar.
Tutajie jina la kitabu, mtunzi wa kitabu na ISBN number yake ili iwe rahisi kukutafutia. Tutazungumza bei na tukikubaliana tunakuletea mpaka Dar
Tuandikie mahitaji yako kwenye pacificamarine@yahoo.com
 
Back
Top Bottom