Ajira.ajira,ajira, secretary,graphic design


SUYA

SUYA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
126
Points
195
SUYA

SUYA

Senior Member
Joined Jun 24, 2009
126 195
Nafasi ya kazi ya secretarial na graphic design,
ofisi ipo sinza
anahitajika msichana,mdada mwenye sifa zifuatazo:

1.awe amesomea na kupata uzoefu wa kazi kwa program zifuatazo:-

(a)microsoft office 2007
(b)adobe illustrator cs3, cs4 or cs5
(c)adobe photo shop cs3, cs4 or cs5

2.awe na uwezo wa ku designing :-
(a) wedding cards,send off
(b) calender ,brochure, etc

3.awe na uwezo mkubwa wa microsoft 2007 kwenye:-
(a) typing speed,type setting, printer setting

mwenye sifa tajwa hapo juu awasiliane kwa simu namba 0755009950

mshahara ni makubaliano.
 

Forum statistics

Threads 1,296,019
Members 498,494
Posts 31,230,952
Top