laptop inauzwa

laptop inauzwa

AMDONE

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
17
Reaction score
1
jaman habari zenu nina laptop ninaiza
info:
Mac power book g4
inchi 17
1 gb ram
hardisk 74.5 gb
operating sys; mac os x 10.4.11

price 450000 tu.
contacts
0716231838
au
0762984639
email: amudibarongo@gmail.com
 
Mkuu kwa jinsi technology ilivyoadvance,kwa kweli hiyo laptop sidhani kama utauza kwa bei hiyo. Toleo la 2001 na hizo specifications,sidhani.But anyway ngoja wapenzi wa Mac waje!
 
Mkuu hiyo bei yako hiyo kwa bongo na specifications za mac bado sana
 
Kwa hyo bei huku mwanza unapata dell nzuri ya
ram 1gb,
prc 1.8gb
hdd 120gb
kama unabsha pga cm ulzia
 
Hdd 74.5GB, Ahahahahahahaha!
Kawauzie chekechekea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom