Shamba Morogoro lenye Ukubwa wa HEKARI 20 Kwa SH 2,200,000 TU


Doltyne

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Messages
443
Points
195
Doltyne

Doltyne

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2011
443 195
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=).

Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa maana halijawahi kupandwa mazao yeyote). Eneo Husika (Kinonko) Ni Maarufu kwa Kilimo cha Mahindi, Ufuta na Alizeti.

Shamba Halipo Tambarare kabisa na halina Mlima Mkali... Kuna Kaslop kadogo tu.

Kinonko ipo Mkoa wa Morogoro, Ni KM 18 kutoka Barabara kuu ya lami iendayo Morogoro (njia inayopita Ngerengere-Kuna kambi ya jeshi maarufu sana). Km hizi 18 ni kama Umekatia kona Bwawani, na Kutokea Mikese ni km23 tu. Barabara Imechongwa vizuri na inapitika bila matatizo mpaka shambani.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714881500.
 

Forum statistics

Threads 1,296,579
Members 498,672
Posts 31,252,839
Top