Natafuta nokia E71 ya kununua

maege

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
309
Points
225

maege

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
309 225
Iwe katika hali nzuri hata kama ni used... Aliyetayari aniPM bei yake tufanye biashara asanteni.
 
Achahasira

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
1,216
Points
1,170

Achahasira

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
1,216 1,170
kama kuna sababu nyuma ya kuipata SIM aina hiyo inunue, lkn kama unatafuta SIM nzuri ysiingie usinunue taja bei ulionayo na matumizi yako tukushauri nzuri zaidi
 
tusichoke

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
1,314
Points
1,195

tusichoke

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2011
1,314 1,195
kama kuna sababu nyuma ya kuipata SIM aina hiyo inunue, lkn kama unatafuta SIM nzuri ysiingie usinunue taja bei ulionayo na matumizi yako tukushauri nzuri zaidi
Mkuu kwa bajet isiyozidi unaweza nisaidia kujua ni simu gani ninaweza kununua inayosaport pdf files,ppt files,document files,live streaming video na yenye kamera nzuri. Nitashukuru mkuu
 
tusichoke

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
1,314
Points
1,195

tusichoke

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2011
1,314 1,195
Ahsante mkuu ninayotumia ni E71 aina tofauti sana na E72 ,tofauti kubwa ni kamera. Kwa hiyo ninalenga aina nyingine ikiwa mpya ya bei nafuu lkn tatizo kubwa ni hizi simu za kichina
 
Achahasira

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
1,216
Points
1,170

Achahasira

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
1,216 1,170
Mkuu kwa bajet isiyozidi unaweza nisaidia kujua ni simu gani ninaweza kununua inayosaport pdf files,ppt files,document files,live streaming video na yenye kamera nzuri. Nitashukuru mkuu
tafuta galaxy poket galaxy y na galaxy mini zina Mambo yote unayo hitaji sema tu tatizo ni screen ndogo na betri hazikai sana na chaji kama Nokia. kama screen ndogo tatizo chukua Nokia e72 ni bora kwa e71. au e5 Mambo yote utayafanya.

hapa kashinda Nokia lkn usinunue e71 kama unauwezo wa e72 au e 5
 
tusichoke

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
1,314
Points
1,195

tusichoke

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2011
1,314 1,195
tafuta galaxy poket galaxy y na galaxy mini zina Mambo yote unayo hitaji sema tu tatizo ni screen ndogo na betri hazikai sana na chaji kama Nokia. kama screen ndogo tatizo chukua Nokia e72 ni bora kwa e71. au e5 Mambo yote utayafanya.

hapa kashinda Nokia lkn usinunue e71 kama unauwezo wa e72 au e 5
Ahsante sana kwa ushauri wako mkuu,nimeuzingatia nitatafuta galax min au e5
 
Forum statistics

Threads 1,389,291
Members 527,879
Posts 34,022,221
Top