Nguo na Vitu Vingine vya watoto toka UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguo na Vitu Vingine vya watoto toka UK

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Hebrew, Jul 26, 2012.

 1. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wakuu nimekuja na kamzigo kadogo cha kuuza... vinguo vya watoto toka aliyezaliwa leo hadi miaka 12. Pia kuna viatu, chupi, mabrgi, maziwa, chupa za maziwa, sterilizer, vijiko na vikombe. Tuna mabangili, hereni, cheni, lotion za wakina dada pia vipo. Karibuni tupo Upanga, Kilombero street - opposite shule ya msingi Muhimbili. Ni nyumba/duka ya pili kulia. Karibuni sana
   
 2. Spinster

  Spinster JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  asante helen na chen ndo nataka mnazo za sh ngap na ni englsh gold au?
   
 3. GreenHouse

  GreenHouse JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 281
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mnavyo viatu vya watoto wakike wa mwaka mmoja? bei zikoje?
   
 4. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  hereni zipo na nu silver na gold plated from 10k. Viatu vipo vya watoto from 25k na nguo toka 15k. Karibuni. Cheni ni silver na gold plated pia
   
 5. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Nashukuru sana kwawadau mliofika Dukani. Bado vimebaki vitu vichache.Karibuni sana
   
 6. A

  Aikaeli Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I hope vitu bado vipo..sterilizer unayo ya aina gani? electronic au microwavable? brand gani? na bei gani? na je una electric breast pump? brand na bei pls if unayo..na je una maternity clothes za ofisi? esp. trousers? if yes bei zako tafadhali. thanx.
   
 7. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Sterilzer ni tommee tippee na chupa zake (kwenye box) electonic sio microwave. Bei laki mbili - inakuja hivi
  1 x electric steam steriliser
  2 x 150 ml bottles with slow flow teats
  2 x 260 ml bottles with slow flow teats
  6 x milk powder dispensers
  1 x bottle and teat brush

  Mzigo mwingine umetua toka UK- maziwa SMA (Mekundu na pia ya kijani). Nguo za M&S, Next, TK Maxx za watoto wavulana na wasichana...viatu pia vipo. Karibuni sana ...Kilombero street...njia ya kwenda jeshini
   
 8. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Bado vitu vipo wadau ..kwa ajili ya sikukuu ya noeli
   
Loading...