Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
130K mzeeodomita ngapi?
mzee, huwa tunaangaliaga gari kwanza, habari ya rim za elf hamsini huwa ni baadaeMbona rims zake chai maarage?mbona za mbele ni tofauti na za nyuma?
mzee, huwa tunaangaliaga gari kwanza, habari ya rim za elf hamsini huwa ni baadae
tuongee si kuna cm hapo...maana hii ni biashara au unasemaje!!Vipi 3 instant cash then 2 mwisho wa mwezi?
kuna namba ya cm we can talk man col meVipi 3 instant cash then 2 mwisho wa mwezi?
Ulitaka uone plate number??picha ya mbele na nyuma hujapga full manaake nin?
Ushanboa. ngoja nile lak 5 ili ibak m 5.5 af ntarud
nimekugongea "like"Ulitaka uone plate number??
Huwa hatuwekagi maana ukiiona mtaani utaanza kuifananisha, ngoja ajibu mwenyewe!!
Mbona rims zake chai maarage?mbona za mbele ni tofauti na za nyuma?
Kuna maswali ya muhimu sana: japo kwa kifupi tueleze kwa nini unaiuza? Imewahi kupata tatizo lolote (ajali kugongwa n.k)130 thousands kilometers mzee
Nauza ili nipate hela....Kuna maswali ya muhimu sana: japo kwa kifupi tueleze kwa nini unaiuza? Imewahi kupata tatizo lolote (ajali kugongwa n.k)
Nauza ili nipate hela....