Watu wengine ni wasumbufu sana...hapo umeshaelewa kabisa kuwa anatafuta mzigo...akiwa na maana ana Gari, na ndo maana umemuuliza ni mzigi wa namna gani anataka....ila mwanzo unajifanya huelewe kabisa.....sio lazima uchangie mzeeMaelezo yako hayajatosheleza mkuu..jaribu kuwa wazi zaidi..unasafirisha au unataka mtu akusafirishie,,na mizigo ya namna gani unayotaka?
Aina gani ya Truck?? kwanza umesema mikoani na NJE...ina maana kama gari yako ni transit unawezaje kusafirisha mikoani?? au unazo nyingi ikiwa ni pamoja na transit & Local?? vipi kuhusu mizigo ya hapa hapa DAR kupeleka Bandarini?? shanta unakula?? gari unazo ngapi??Mimi nina gari (TRUCK) Nina itafutia mzigo,kazi ya kufanya kusafirisha mzigo
Watu wengine ni wasumbufu sana...hapo umeshaelewa kabisa kuwa anatafuta mzigo...akiwa na maana ana Gari, na ndo maana umemuuliza ni mzigi wa namna gani anataka....ila mwanzo unajifanya huelewe kabisa.....sio lazima uchangie mzee
we sio mzima aisee....umeambiwa unaohitajika ni mzigo (ili usafirishwe)..... wewe unauliza kama anataka wamsafirishie!!!! kama angetaka wamsafirishie angeulizia gariiii!!!!!!! kilaza wewePeople! Think with your head not your balls!!!! Hivi mtu akikuambia anatataka mzigo wa kusafirisha utaelewa nini? and you are defending Him
Wana JF Natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoani na hata nje ya nchi ktk ukanda wetu wa EAC
we sio mzima aisee....umeambiwa unaohitajika ni mzigo (ili usafirishwe)..... wewe unauliza kama anataka wamsafirishie!!!! kama angetaka wamsafirishie angeulizia gariiii!!!!!!! kilaza wewe
Siwezi bishana na mburura kama wewe kwenda huko!!!!!!!!!
Siwezi bishana na mburura kama wewe kwenda huko!!!!!!!!!
Kutembea hivi huyu jamaa hata shule kaenda japo kidogo??? kama ndio aliishia chekechea coz kuna mambo mengine kuyaelewa haiitaji kusumbua ubongo kabisa.....yaani kwenye thread yako na ilivyojitosheleza bado anahisi kuwa unatafuta Gari usafirishie mzigo (it's like wewe una mzigo ndo unatafuta gari)...wakati jambo liko wazi unaohitajika ni mzigo usafirishwe..... eliphaz the TEMAnite rudi classWana JF Natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoani na hata nje ya nchi ktk ukanda wetu wa EAC
nitaelewa ANA GARI...na yeye ni msafirishaji PERIOD!!!!!!!!!!!! Kaongezea kabisa """""ukanda wa EAC""" nitajua kabisa huyu jamaa anafanya shughuli ya usafirishaji under C65 (transit)!!!!!!!!!vipi bab, wakati ulipokuwa unaisoma ulikuwa unakimbizwa???People! Think with your head not your balls!!!! Hivi mtu akikuambia anatataka mzigo wa kusafirisha utaelewa nini? and you are defending Him
Mimi nina gari (TRUCK) Nina itafutia mzigo,kazi ya kufanya kusafirisha mzigo