Scania 124/360 inauzwa kwa instalment

Scania 124/360 inauzwa kwa instalment

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Wna JF nauza scania 124/360 , bei mil. 52 lakini mtu kama yupo tayari anaweza kutoa advance nusu na nyingine akawa analipa kidogokidogo.

kwa maelezo zaidi ni PM
 
Attachments

  • SCN%2001.JPG
    SCN%2001.JPG
    12 KB · Views: 377
hii gari uliwahi kunipa nikuuzie , sasa nipigie tuongee
 
sawa kama unahitaji nitafute,
 
Sasa ndugu dalali kama ulishindwa kuiuza mwazo, sasa utaweza kweli? Alafu kwanini usimpigie wewe mwenye shida ya commission Mpaka yeye akupigie? Udalali wako kumbe mpaka kwenye magari, nilidhani ni viwanja vya kigamboni tu.
hii gari uliwahi kunipa nikuuzie , sasa nipigie tuongee
 
Sasa ndugu dalali kama ulishindwa kuiuza mwazo, sasa utaweza kweli? Alafu kwanini usimpigie wewe mwenye shida ya commission Mpaka yeye akupigie? Udalali wako kumbe mpaka kwenye magari, nilidhani ni viwanja vya kigamboni tu.
Hata magari nauza kaka, mwanzo aliniletea na kuna bei wateja walifika sasa nataka tuzungumze kama ana chukua , huwa nauza magari makubwa , viwanja na nyumba karibu
 
Kaka nipigie mimi namba yangu 0713935738 fasta coz kuna mtu anahitaji
 
Back
Top Bottom