Xbox 360 VGA HD AV Cable

Xbox 360 VGA HD AV Cable

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
18,667
Reaction score
21,876
[h=2]Xbox 360 VGA HD AV Cable[/h]
Wakuu!!!
Mwenye hii 'Xbox 360 VGA HD AV Cable' naomba tuwasiliane kwa PM
 
Mkuu hapa Dar huwezi kuzipata mpya. Unaweza kupata used kutoka kwa mtu aliye na hiyo xbox iliyoharibika. Ukiona hakuna la maana hapa kwetu tuambie ili tukuagizie mpya kutoka kwenye soko la dunia. Ni $50.00 zikiwa Dar.
Tuandikie pacificamarine@yahoo.com
 
nimekupata mkuu ngoja niangalie na wadau ila nikikwama kabisa nitarudi kwako
 
Back
Top Bottom