kiwanja kinauzwa haraka

kiwanja kinauzwa haraka

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
wana jf nauza kiwanja milion 3, ukubwa hatua 20 kwa 20. kipo mabwepande karibu na ofisi ya serikali za mitaa. mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu namba. 0713126942
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Mkuu kabla sijakupigia nijibu hapahapa hakina mgogoro? Kina hati? Mazungumzo yapo?
 
Mkuu kabla sijakupigia nijibu hapahapa hakina mgogoro? Kina hati? Mazungumzo yapo?
kiwanja changu hakina mgogoro hata kidogo pia ukinunua utakuwa jirani yangu kwani plot zipo mbili na zinapakana na moja ni kwa ajili yangu mwenyewe, kina hati ya serikali ya mtaa, mazungumzo yapo kiasi kwani mimi sio mzungumzaji sana pia kwa kuwa unaonana na bosi moja kwa moja hautahitaji kumlipa dalali kwa hiyo itasaidia kupunguza mazungumzo. nazani unaweza piga sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom