Natafuta waimbaji wa kike wenye uzoefu

Natafuta waimbaji wa kike wenye uzoefu

thejoy

Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Habari wana JF. Mimi nina Bendi ya muziki na napiga muziki (live Band) kwenye ma Hotel. Natafuta waimbaji wa kike wawili kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye bendi. Bendi ipo Dar es salaam lakini wakati mweingine tuna enda kupiga mikoani hasa Arusha na Mwanza.

Aliye tayari anipigie simu 0782555519 au 0784 207307
 
stage shoo....mi nipo fit sana kwenye swala zima la shoo.....hutaki hao.....?
 
Mimi ni STEBI SHOO mahiri, hebu tafuta video ya ITV hawavumi lakini wamo, wimbo unaitwa Wazazi baba na mama mwaniabisha. Nimenengua mwanzo- mwisho
 
Habari wana JF. Mimi nina Bendi ya muziki na napiga muziki (live Band) kwenye ma Hotel. Natafuta waimbaji wa kike wawili kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye bendi. Bendi ipo Dar es salaam lakini wakati mweingine tuna enda kupiga mikoani hasa Arusha na Mwanza.

Aliye tayari anipigie simu 0782555519 au 0784 207307

Mjaribishe Lady Jay Dee au Ray C...keshapona sasa
 
Back
Top Bottom