Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji eneo la hekali mia moja maeneo ya kibaha kwa ajiri ya eneo kuweka yadi ya mizigo...iwe karibu na barabara na eneo lenye umeme liwe maeneo ya kibaha au mlandizi mwanzoni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu nahitaji mkanda wa simu na housing yake nokia 5600d-express music aliye na bidhaa hiyo tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Me namiliki gx 100,but kwa nature yangu ya kazi mpya niliyoipata nadhani haitonifaa kwani ni home to office,office to home! Nahitaji IST,VITZ, or SWIFT ya movement za town,kunywea bia and kubebea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF natafuta nyumba ya kunua Dar maeneo ya Magomeni, kinondoni, Temeke, nyumba iwesehemu nzuri kwenye baraba au karibu, naomba msaada wenu hata kama ni nyumba chakafu nimepata visenti, je...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Viko goba tegeta 'a' size mita 20*20 2.8million, 22*22 3million 22*25 3.5million,40*20 5.6million, 44*22 6million na 25*44 7million viko tambarare na umeme uko jirani. (kwa taarifa zaidi piga...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Haloo wana Jf nina laptop aina ya Accer 5532 Hard disc 160 Ram 3.0GB Speed 1.6GHz Ina tatizo la battery hivyo nahitaji kubadilishana na mtu mwenye min laptop
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simu ni used but iko in mint condition, with box and all accessories. Bei tsh 560,000. Kama uko interested pm me, or nichek 0717301520 at kwenye whatsapp
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Jaman inamaana humu hamna madalali? Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kinondon kuanzia morocco Airtel to mkwajun. Kama kipo tupeane taarifa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bb curve ipo katika hali nzuri sana Na pata kila kitu charge Earphone Usb Bei 150,000 Unaweza kuongea bei ucogope Contact 0717103712
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Simu ipo ktk hali bomba bei poa na inapungua wazee. Ina USB cable, ni brown colored. Dogo langu Maximilian ndo seller. Cmu ni ya ukweli, a smartphone one. Karibuni wadau!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
7
0 Reactions
3 Replies
1K Views
madalali nijuzeni na ningependa zaidi kama nitapata cha kulipia kodi ya nusu mwaka na kisizidi laki moja kwa mwezi, namba yangu 0657194551
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta nokia e72 ya kununua alienayo tuwasiliane 0717592335
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Kama mpo u can reach me kwenye hii numba +255 756 412 337 Tuongee Business.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naombeni ushauri wa aina yeyote mwenye uelewa wa magari na uzoefu wa gari aina ya suzuki carry na bei zake na wapi zinapatikana.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
FRIDAY, DECEMBER 14, 2012 VIWANJA VINAVYOUZWA NI HIVYO VILIVYOWEKEWA ALAMA NYEKUNDU VINATIZAMANA NA UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA PICHA YA VIWANJA HIVYO NI ZAIDI YA HEKA NNE KWA...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY GSM MODEM ZTE HUAWEI VODAFONE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Verrosa silver for 15m ni mpya kabsa nmeshasajiri bado kuchukua plate number Tu,engine ni VVTI 2.0 KM 72000
0 Reactions
0 Replies
858 Views
kama unahitaji kutafuta maisha upande wa pili wa shillingi jiunge nami tukianza kwenda south maana nnandugu yangu pande hizo,ni mawazo tu jamani kama huitaj kaa kimya kama unahitaj nipm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…