Nahitaji eneo la hekali 100 maeneo ya kibaha.

Nahitaji eneo la hekali 100 maeneo ya kibaha.

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
382
Reaction score
121
Nahitaji eneo la hekali mia moja maeneo ya kibaha kwa ajiri ya eneo kuweka yadi ya mizigo...iwe karibu na barabara na eneo lenye umeme liwe maeneo ya kibaha au mlandizi mwanzoni kabisa......mawasiliano 0713935738
 
Mkuu mimi nina ekari 101 boko magereza,unapaonaje?3km kutoka wazo
 
we ndiye unayetaka au we dalali mi ni dalali eneo lipo ni km 2 kutoka barabarani lipo kibaha 0657145555
 
Mimi sio dalali ila ni mtu niliepewa kazi ya kutafuta eneo na boss wangu plan ni kutengeneza bandali ya nchi kavu maeneo hayo....
 
nina heka 800 kibaha ndani kila heka 400000
Mkuu yeye kakwambia anahitaji 100 tu,mambo ya 800 yatoka wapi au unataka kutuonyesha ni jinsi gani unamiliki kiasi kikubwa cha ardhi?
 
Mimi sio dalali ila ni mtu niliepewa kazi ya kutafuta eneo na boss wangu plan ni kutengeneza bandali ya nchi kavu maeneo hayo....
sawa asante eneo mi ninalo ni heka 102 hvi lina document zote tutafutane basi tukae mezani tumalize biashara
 
sawa asante eneo mi ninalo ni heka 102 hvi lina document zote tutafutane basi tukae mezani tumalize biashara

ok kaka kwa kua nimeona namba yako j3 nawasilisha ofisini alafu nitakupigia jioni tuone tunafanyaje usijali
 
Back
Top Bottom