Natafuta min laptop

Natafuta min laptop

mchagahalisi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
619
Reaction score
364
Haloo wana Jf nina laptop aina ya Accer 5532
Hard disc 160
Ram 3.0GB
Speed 1.6GHz
Ina tatizo la battery hivyo nahitaji kubadilishana na mtu mwenye min laptop
 
XaXa nani anapenda adha kama hiyo
 
Nina mini laptop lakini haina betri vipi itafaa?
 
Haloo wana Jf nina laptop aina ya Accer 5532
Hard disc 160
Ram 3.0GB
Speed 1.6GHz
Ina tatizo la battery hivyo nahitaji kubadilishana na mtu mwenye min laptop

ninauza mini laptop laki 3 used kama vipi nicheki nachukua mitumba dubai
 
Back
Top Bottom