Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Me namiliki gx 100,but kwa nature yangu ya kazi mpya niliyoipata nadhani haitonifaa kwani ni home to office,office to home! Nahitaji IST,VITZ, or SWIFT ya movement za town,kunywea bia and kubebea maduuuz! nipo tayari kulipa kwa installment 3 and ntakukabidhi kadi and gari langu ukae navyo till nitapomaliza deni lote. If upo interested nichek