KIWANJA KINAUZWA
Kiwanja kipo km 30 kutoka mbagala
ni njia iendayo kusini mwa tz,,
kinauzwa mill 1.3 maelewano yapo
kina hati ya serikali ya kijiji
ni robo ekari kipo nusu km kutoka barabara...
Hii ni Panasonic dmc-fz100 14.1MP ni moja ya Camera zilizo sifika kwa ubora na uzuri wa picha.Bei yake ni Tshs 850,000.Imetumika lakini ipo katika hali nzui kabisa na ilitumika Uingereza na sasa...
Wana jamii nauza shamba langu la heka nne ambalo halijalimwa na halina visiki labda viwili vitatu tu kwahiyo usafishaji wake ni wa kuondoa majani tu halina kazi kubwa.Lipo Mkuranga na kama kuna...
Natafuta Hp desktop CPU iwe dual core processor, hard disc drive kuanzia 180GB, na ram kuanzia 2gb, dvd writer na iwe tower. Kwa anayeuza anitafute kwenye namba 0713872828
Mashamba yanuzwa maeneo ya Mwale Masaki Kisarawe. Moja heka 4 lina, minazi kama ishirini, michungwa, miembe n.k Shilingi milioni 10. Lingine heka 1shilingi milioni moja na laki nane. Wanaouza ni...
iko in good condition.
ni nzima no problems at all,
ni nyeupe ,
16gb ,
used ,
iko cheaped,
ina game 9 (including fifa 13)
price ni : 250,000
contacts ; 0656 211 999 , 0789 218 339
Wadau,
Ninauza Scania 124L HP 420 ya mwaka 2000 ambayo imetoka leo bandarini na iko kwenye hali nzuri sana kama ambavyo picha zinavyoonesha. Bei yake ni nzuri na iko below market price kwa...
Hii ni camera moja kali sana utafurahi kwa matumizi yake.Picha zake ni nzuri sana na imewekwa lens ya sigma ambayo kali sana.Imetumika kiasi lakini ipo katika hali nzuri kabisa wala haina...
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.