Gari aina ya kenta inahitajika haraka

Gari aina ya kenta inahitajika haraka

Joviary

Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
60
Reaction score
15
Kenta mpya inahitajika,mwenye kujua anijulishe pliz,aainishe na bei kabisa!
Ili nione kama nitamudu
 
Mi ninayo mpya nilinunua mwezi wa nne mwaka huu ipo ktk hari nzuri sana haijawahi kutoka nje ya dar , nauza 25m kama uko serious nipigie njoo ulipie uchukue 0657 145555
 
Mie ninayo,lkn,sio mpya ni used kutoka japan...imeingia dar september mwaka huu,manual,2 tons,blue in colour...na tangu october inapiga mzigo, kuuza maji mbezi ya kimara,kama uko interested,call mi 0713_466428
 
Weka bei mkuu ili hata mtu mwingine mwenye kuhitaji akutafute.
Mie ninayo,lkn,sio mpya ni used kutoka japan...imeingia dar september mwaka huu,manual,2 tons,blue in colour...na tangu october inapiga mzigo, kuuza maji mbezi ya kimara,kama uko interested,call mi 0713_466428
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom