MC mzoefu anaitwa bakari simbeye anapatika kwa shughuli mbalimblai zikiwemo za kiofisi na binafsi kwa kupitia namba hizi hapa:0653-812984/0754-368802. Gharama ni 900,000 pamoja na muziki.
NYUMBA YA ILIYOJENGWA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
Ipo mbezi mwisho barabara ya morogoro
umbali wa mita 60 toka barabara kuu iendayo Morogoro
Ni mpya bado haijakaliwa 90% ya matengezezo...
Gari aina ya Toyota Emina linakodishwa kwa shughuli mbalimbali ndani na nje ya mji wa Dar Es Salaam. Linauwezo wakuchukua watu 7.Gari Litakuwa linakodishwa pamoja na dereva wakati wote. Mteja...
ideos android 2.2 version, used ipo katika hali nzuri na haina tatizo la aina yoyote inapatikana kwa sh.80,000, na Samsung galaxy nexus mpya kabisa kwenye box lake kwa sh. 600,000.
Unfinished house having four bedrooms, one master in a plot of 1981 square meters, in good location near tarmac road, good clear access road, is available for sale at Mbezi Beach. This house has...
Ndugu wana jamii kwa yeyote anaye jua naomba anijuze wapi naweza pata mashine ya kufyatua block inayotumia umeme na inaweza ikipatikana kwa bei gani? Nipo Dar es Salaam
10acres land farm at kigamboni kijaka ,32 km toka ferry .bei 16m
0786149592.
50acres farm(kuna miti miembe na mikorosho )lipo kimbiji 42km toka kivukoni
bei 100m . 0786149592.
kiwanja...
Nahitaji kununua gari toka Japan. Ushauri kwa supplier mzuri (viunganishi kwenye web zao na ofisi zao zitakuwa bora zaid)
Nahitaji gari ndogo ya kutembelea ila sio Vitz, Starlet au za aina hiyo...
Wakuu nimekuja na kamzigo kadogo cha kuuza... vinguo vya watoto toka aliyezaliwa leo hadi miaka 12. Pia kuna viatu, chupi, mabrgi, maziwa, chupa za maziwa, sterilizer, vijiko na vikombe. Tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.